Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Imefikia kipindi nikiona tu sio wewe unayesoma taarifa ya habari basi naondoka au nabadilisha channel. Na nilivyo mgonjwa wa big nyashi, sehemu muhimu zaidi kwangu ni pale unapogeuka na kutembea...
19 Reactions
93 Replies
963 Views
Wasalaam, JF. Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla...
12 Reactions
100 Replies
3K Views
  • Suggestion
Umoja wa Mataifa unaiweka Tanzania katika kundi la Nchi maskini Zaidi (LDC). Hata hivyo, ikizingatiwa rasilimali nyingi na uwezo mkubwa wa nchi yetu, hadhi hii inaonekana kutofaa. Kwa kujifunza...
3 Reactions
9 Replies
317 Views
https://m.youtube.com/watch?v=0eDvfPF6Ys0 Mwanachuo bi. Nduguru aliyetokea Songea kusoma campus ya DUCE jijini Dar es Salaam akiongea huku akushangiliwa na wanafunzi hao wa kitivo cha chuo kikuu ..
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ukwelindioohuoò kila siku mtaaan watu wanaongeaa pekeyao kama wako na famlia unawazq anaongea na nanii..lohq
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
6 Reactions
43 Replies
499 Views
Ubinadamu kazi kweli Nimewaza tu hivi grp.lote lile la madada poa mdahuu watakuwa wako wapi Na wafanya kazi gan mbadala ukiacha waliofumaniwa kwenye danguro
0 Reactions
4 Replies
19 Views
Leo Israel imeshambulia kusini mwa Lebanon kwa ndege vita zake kama kitendo cha kulipiza tukio la Hezbollah kushambulia kaskazini mwa Israel kwa drone kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine 10 leo...
2 Reactions
8 Replies
187 Views
Kuna clip inasambaaa DC kafunga sijui danguro la Riverside. Ajabu katangaza bar zilizo karibu na danguro zifungwe. Hizi bar zinalipa vibali vyote manispaa na TRA. Kuna kiki za kulazimisha zisizo...
10 Reactions
45 Replies
895 Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
7 Reactions
17 Replies
380 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,162
Posts
49,821,725
Back
Top Bottom