Ndugu zangu Watanzania,
Kuna wakati nilishuhudia kwa macho yangu Mwenyewe watu wakiacha na kusimamisha kazi ili wafuatilie mijadala ya Bunge, nilishuhudia watu wakiwa vikundi vikundi vibanda...
Yaani pisi zimekuwa nyingi mpaka unahisi shetani anakutafuta, pisi zipo full ni ww tu tafuta pesa
Acha kabisa kubaka watoto watoto Linda mototo wa mwenzio Deal na hzi pisi za kumwaga 18+,
Kwa kifupi nakareka sana na huduma za huu mtandao.
Mtandao haumalizagi mwezi lazima hitilafu itokee tukose baadhi ya huduma.
Mfano nipo hapa tangu saa moja jioni, TIGO PESA haifanyi kazi...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
VIGOGO watatu ambao ni watu wa Karibu sana na Rais Samia wote wamefurushwa Ikulu siku ya jana ambao ni Mshauri wa Rais Sheria, Mshauri wa Rais Siasa na Mshauri wa Rais Habari na Mawasiliano...
Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.