Mwandishi nguli wa Habari za Michezo Maulid Kitenge amesema Ukweli ni lazima usemwe Idara ya Mawasiliano Ikulu ilipwaya.
Kitenge amesema kwa mfano madai ya uzushi ya kuuza Bandari ilimlazimu...
Habarin wa JF natumaini mko powah kabisa
Huyu fundi simu amenishangaza sana mpaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wahanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa yangu...
Nyumba Inauzwa.
Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda.
Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom.
Eneo: Sqm 135.73
Nyaraka: Ina leseni ya makazi.
Bei: Milioni 75
Karibu...
Hapa nazungumzia wafanya biashara sio wale wezi wa pesa za wananchi, changamoto inakuja kutafuta mtaji labda umepata milion 5-10, either umekopa au umepewa, changamoto ya kwanza ni kutafuta frame...
Hapo zamani za kale katika Nchi ya Mashariki ya mbali, Nchi iliyobarikiwa mito, maziwa, ardhi kubwa na yenye rutuba, Palitokea Malkia mmoja aliyefahamika kwa jina la Sama.
Malkia huyu alipenda...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Mbunge wa Jimbo la Mlalo na Mjumbe Kamati ya Bodi ya Uwekezaji wa Simba kupitia upande wa mwekezaji Mohamed Dewji, Rashid Abdallah Shangazi ameeleza sababu ya kujiuzulu kwake kwenye nafasi hiyo...
Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.
Ni kwamba ule...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi.
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.