Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa...
3 Reactions
54 Replies
643 Views
Hakika sikio la kufa halisikii dawa. Wabunge wakishirikiana na mawaziri, machawa na wapambe e.g baadhi ya waandishi walituaminisha pitisha hiyo sheria ya kubinafsisha badandri zetu kwa DP world...
0 Reactions
8 Replies
152 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
10 Reactions
59 Replies
2K Views
Bojour wazeeee.......!!!! Watu wengine makomwe sana..... Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi...
22 Reactions
87 Replies
1K Views
1. Harmonize anaonyesha ishara za lugha za matusi hadharani hasa zikiwadhalilisha wanawake na mashabiki wanazishangalia, jambo la kushangaza mpaka sasa sio LHRC, TAMWA, BASATA, TFF au taasisi...
1 Reactions
7 Replies
121 Views
My Take Naunga mkono hoja ila prefix ya Dr iondolewe ndio jina litapendeza zaidi. Pili Mtu apewe maua yake mapema kabla hajafa sio mtu amefariki kama Lowassa ndio mnaanza kujisemesha ooh sijui...
9 Reactions
101 Replies
4K Views
Ni wazi kuwa vijana hawa ndio taifa la bdae. Utake usitake, hawa ndio viongozi wetu, ndio waendesha uchumi kwenye maeneo mbalimbali wa hapo bdae. Ila nikitazama mwelekeo wao na fikra zao napata...
0 Reactions
2 Replies
16 Views
Taja!!!!!! Note: Acha kuigiliza wenzako tafadhali
3 Reactions
92 Replies
909 Views
Tupo Kariakoo unaletewa bidhaa ndo unalipa kwa aliyeko Dar-es-Salaam punguzo lipo. 0713520180
2 Reactions
222 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,846
Posts
49,730,413
Back
Top Bottom