Inakuwaje wanaJamiiForums
Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k.
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au...
Masaa 2 yaliyopita mfungaji bora wa ligi kuu msimu wa 2023/2024 na mchezaji bora namba 2 Stephan Aziz Ki ametumia ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwaaga mashabiki, wanachama, viongozi, wachezaji...
Habarin wa jf natumaini mko powah kabisa
Huyu fundi simu amenishangaza sana mbaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wa hanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa angu...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Miaka hiyo sina hela afu ujana mwingi......kidogo nipagawe.
Nikamcheki braza yangu MUBA MUBANDA....mzee wa kazi zote pale kariakoo.
MIMI: Kaka mdogo wako sina kitu afu unavyojua lazima avensis...
Nchi nzima kama sio dunia nzima kwa sasa kilio kikubwa ni vijana kudai hawana "connections" za kupata malisho mazuri. Connections za ajira, biashara au hata ufadhili wa masomo. Mimi nimejitolea...
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee...
Wanabodi
Hili ni bandiko la maswali kwa Tundu Lissu na dereva wake, kufuatia shambulio la Lissu,
"Shambulizi la Lissu, wanaomdhania dereva anahusika, sio wajinga!, wana hoja za msingi!" Swali ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.