Mazingira yanayowapa kipaumbele wanawake - Marekani / Ulaya mwanamke anatukuzwa sana, Huruhusiwi hata kumfinya ukijaribu tu polisi wapo mlangoni kesi ni domestic violence, Mnaweza kulewa wote...
Inakuwaje wanaJamiiForums
Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k.
Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au...
Kama unabisha azima simu kwa waislamu watano wanaopenda kusikiliza nyimbo, lazima tu utakutana na kwaya kadhaa,
Kwa upande wa wakristo Kati ya 100 hutapata qaswida hata mmoja,
Kati ya harusi 100...
Wasalaam,
Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu.
Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba...
Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia.
Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa.
Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya...
Kuna mwanamke furani ivi ni mwanamke wa ndoto zangu nampenda na yeye ananipenda ila cmwelewi kwenye cmu kasevu mpenzi mwingne alaf kdume nkajijua ndo mimi kumbe cyo kudadadeki, ivi inakuaje hawa...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Huko Singida Mjini kumepangwa kufanyika Mkutano wa Hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu 8/6/2024, kwenye viwanja vya Stendi ya Zamani...
Salaam, Shalom,
Wote tunafahamu kuwa uagizaji wa mafuta Kwa Mfano, Huwa mafuta yanapopakuliwa Kutoka kwenye meli, Huwa Lita zinafahamika na Kodi ya Serikali Huwa tayari inajulikana.
Kiwanda Cha...
Mfumo wa Ajira Nchini kwetu umeshindikana kabisa hasa kwa tusio na Koneksheni kabisaa!
Mfano: nimewahi kuitwa kwenye interview nyingi tu za serikalini ila zote zinafanywa kwa ushahidi tu ili wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.