KWEMA..
kwakuwa tumeona process ya kunywa pombe kupeleka tumboni mpaka kufika kichwani inachukua mda mrefu kulewa,sasa tumegundua process nyingine ya kulewa bila kunywa pombe,kwa sisi wakina john...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi.
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
Wanabaraza naomba mnitoe tongo tongo TGS D (Tanzania Gov. Scale D) ni shilingi ngapi kwa sasa? Nataka kuachia tawi Private Sector niende huko lakini sijui kukoje...
==============
July 2014...
UMASIKINI,huu ndio mtaji mkuu namha 1 kwa CCM na hawa watu hawako tiyali kuona umasikini unaisha Tanzania. Umasikini ni mtaji mkubwa sana hasa wakati wa kampeni, kuna watu huhongwa viberiti ka...
Waziri wa Mawasiliano, Nae Nnauye ametoa kauli ambayo kwangu naona inashida aidha kwake kwenye kuitambua mawasiliano au digitali kwa ujumla. Bajeti ya Wizara ya mawasiliano ya mwaka wa fedha...
Bayoteknolojia ni uwanja wa kisayansi unaojihusisha na matumizi ya viumbe hai na mifumo ya kibiolojia katika uzalishaji wa bidhaa na huduma mbalimbali. Teknolojia hii hutumika katika sekta nyingi...
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa...
#Updates
Usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2024, Malisa amefikishwa Moshi Mjini, na Jeshi la Polisi limempeleka moja kwa moja Ofisi ya RCO.
Taarifa kutoka CHADEMA zinaeleza kuwa Wakili Peter...
VIGOGO watatu ambao ni watu wa Karibu sana na Rais Samia wote wamefurushwa Ikulu siku ya jana ambao ni Mshauri wa Rais Sheria, Mshauri wa Rais Siasa na Mshauri wa Rais Habari na Mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.