Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani.
Ila linapokuja swala...
Ugumu wa maisha unaoambatana na ukosekanaji wa ajira kwa mabinti, kukosa mawazo sanifu ya kibiashara pamoja na mitaji, na ugumu wa maisha unaoambatana na kupanda kwa bei za kimaisha ni miongoni...
Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha...
Ninasikitika sana kutokana na hali iliyopo Simba kwa sasa.Simba inapitia nyakati ngumu sana kutokana na ubovu wa viingozi waliopo,na wanachama wajinga wengi wanaoyumbishwa na siasa za Simba...
Kutokana na wingi wa watu wanaokaa na kutembelea Kigamboni pamoja na shida ya usafiri kuelekea na kutokea Kigamboni ni wakati sasa wa serikali kufanya maamuzi magumu ya kuruhusu vyombo vya usafiri...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Naomben ushaur nimuoe au nimuache tu Nimepata mchumba mdogo tu miaka 19 katulia Hana mambo mengi na bado hamjui mwanaume yan bikra kabsa na yupo tayari kuolewa ni mtu wa kondoa ni mrembo sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.