Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
523K Replies
30M Views
Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
6 Reactions
19 Replies
559 Views
Shimo la choo likijaa naonaga kuna dawa zinatangazwa zinazozibua choo kikiziba, nazihitaji wakuu, napataje Mfano hapo chini.
0 Reactions
2 Replies
69 Views
  • Suggestion
In Tanzania, the journey towards reducing mortality rates and disabilities hinges on a crucial, yet often overlooked factor: First Aid provision during accidents and illnesses. The significance of...
17 Reactions
19 Replies
306 Views
Wakuu kwema? Msaada kwenye tuta, nimepata ajira posta, nahitaji room yenye choo kwa 100k na sehem ambayo ni rahisi kufikika na kwenda kazi, kama gari nikipanda moja linatosha.kuwe na maji ya...
3 Reactions
23 Replies
306 Views
Uwe na miaka 30 kwenda juu usivuke 40 uwe tayari kuishi kiuhalisia
1 Reactions
47 Replies
230 Views
Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki...
11 Reactions
119 Replies
2K Views
Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia. Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa. Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya miez...
0 Reactions
1 Replies
19 Views
Huwezi kusikia watu wanaokuja Dar kutokea Arusha au Moshi kwamba kwamba hawa siyo raia, wala huwezi kusikia watu wa Mbeya, Ruvuma kwamba hawa siyo raia wakati wapo mipakani. Ila linapokuja swala...
8 Reactions
43 Replies
542 Views
Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa. Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji...
1 Reactions
17 Replies
219 Views

FORUM STATS

Threads
1,861,132
Posts
49,820,346
Back
Top Bottom