Kuna clip inasambaaa DC kafunga sijui danguro la Riverside. Ajabu katangaza bar zilizo karibu na danguro zifungwe. Hizi bar zinalipa vibali vyote manispaa na TRA.
Kuna kiki za kulazimisha zisizo...
Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
Kuna watu wana uelewa mdogo sana kuhusu uwezo wa USA kiichumi, kivita, silaha, technology. Ukweli unabaki pale pale kwamba hakuna taifa lolote linalomsogelea MAREKANI kwenye:
a) Uchumi
b)...
Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini...
Habari ya asubuhi.
Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share
Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lisu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa Wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha...
VIGOGO watatu ambao ni watu wa Karibu sana na Rais Samia wote wamefurushwa Ikulu siku ya jana ambao ni Mshauri wa Rais Sheria, Mshauri wa Rais Siasa na Mshauri wa Rais Habari na Mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.