Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lisu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa Wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha...
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo...
Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjwahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana nae nina kama mwezi na...
Wadau habarin kuna mwanamke nimempata kupitia mtandao ishu ni je ataniacha au maana bado hatujabond vyema wala kuonana ana kwa ana nipeni dawa nimvute asije pokonyoka
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Waziri wa Mawasiliano, Nae Nnauye ametoa kauli ambayo kwangu naona inashida aidha kwake kwenye kuitambua mawasiliano au digitali kwa ujumla. Bajeti ya Wizara ya mawasiliano ya mwaka wa fedha...
Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja.
Hii ni mara ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.