Hadi nastaajabu jinsi mume wangu mtarajiwa alivobadilika na kuonesha upendo ambao sjwahi kuupata kutoka kwa mtu mwingine ispokuwa wazazi.
Iko hivi huyu kijana nimekutana nae nina kama mwezi na...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mkakati wake maalum wa kuzuia vitendo vyote vya kihalifu katika Jiji la Dar es Salaam. Kazi hii maalum ya kuzuia vitendo vya...
Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lisu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa Wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha...
Habarin wa JF natumaini mko powah kabisa
Huyu fundi simu amenishangaza sana mpaka nimeona nilete uzi huu kwa wale wahanga wa simu mbovu mnao shinda kwa mafundi iko hivi mimi nina jamaa yangu...
Nyumba Inauzwa.
Ipo Vingunguti kituo msikitini karibu na Tabata Barakuda.
Ina Vyumba vinne(4), hakuna master bedroom.
Eneo: Sqm 135.73
Nyaraka: Ina leseni ya makazi.
Bei: Milioni 75
Karibu...
Wakati mwingine mtu unatamani kusema sisi watanzania ni majuha lakini unaheshimu uumbaji wa Mungu wetu.
Jinsi mambo ya hovyo yanayofanywa na baadhi ya watu tuliowapa madaraka yanavyotia kinyaa...
MOHAMMED KAWAIDA: CCM HAIWEZI KUYUMBA, WATU WAMEONA INAFAA KUENDELEA KUPEWA KUONGOZA SERIKALI
"Katika siasa tulizonazo za ndani na nje ya Chama Cha Mapinduzi hatujamuona Mwanasiasa mkongwe mwenye...
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako
1:IPHONE-watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona niseme haya mapema sana ili yakitokea ya kutokea CHADEMA wasije kuanza kusema wamehujumiwa na serikali au CCM. Kwa sababu mtu mvivu wa kutumia akili akipata tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.