Leo nimeona nishare hii story yangu.
Ilikuwa hivi, nilivomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
Nimenukuu kutoka mtandao wa X kwa ndugu Martin Maranja Masese, na nimeamua kuiweka hapa ili na nyinyi Wakuu muweze kutoa maoni yenu. Maana habari za vyombo vikubwa vya habari kama Sauti ya America...
Msing'oe bendera ya chama chochote , bendera haipigi kura, ushinde ubaya kwa wema - Dkt. Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto biteko akizungumza leo juni 6, 2024 katika...
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi?
Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu...
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka nuda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi.
Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu
Shambulio la ndege zisizo na rubani za Ukraine lilianzisha moto katika kiwanda cha kusafisha mafuta kusini mwa Urusi, na kulazimisha kusitisha operesheni, mamlaka ya kikanda ilisema mapema...
Kati ya wanaume wenye umri wa miaka 15-49 mwaka 2015–2019, 55.2% hawakuzaa mtoto wa kibaolojia, 14.8% walikuwa wamezaa mtoto mmoja wa kibaolojia, 17.4% walikuwa na watoto wawili, 8.2% walizaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.