Wakuu,
Kwa wale wanaosumbuliwa na uso wa mafuta hasa ule ambo ni rahisi kupata chunusu (acne prone skin), tumia mafuta ya ubuyu bila kuchanganya na chochote utakuwa umemalizana na tatizo lako na...
Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu...
Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official...
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza...
alikuwa hajui masikini ya Mungu kwamba red carpet ni kwa viongozi tu.....
angalia kuanzia hapo nilipotega....
https://youtu.be/rxD0Z9Z6sdw?t=486
mjeshi wa Samia, kaitwa pembeni na kachero la...
Biashara ya mishkaki mitaa ya Mama Ngina Drive, Likoni Ferry, nasikia mateja washafanya mbwa kua dili
afu wanawauzia watu eti ni mishkaki. Kudadeki!
Msiseme sikuwahabarisha.
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa kichekesho...
Binafsi Sina uelewa wa sheria kabisa, ila naomba hizi mahakama za mwanzo ziondolewe au zifutwe kabisa kwani huku ndio kimbilio letu sisi masikini na wajinga na sisi tusio na akili,
Kwa mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.