Wakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...
Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus pamoja na viongozi wengine wa Serikali wanazungumza na waandishi wa Habari Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Juni 6, 2024...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
Ikulu imekuwa kichekesho. Huyu Bwana Milton Lupa amefariki kwa ajali eneo la Dumila juzi. Alikuwa njiani kuja Dodoma kwenye kituo chake cha kazi VETA. Cha kushangaza jioni hii Dr. Kusilika KM...
Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe.
Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.