Wakuu heshima mbele.
Nimetoa elfu 40 kwa sim banking kuja kwenye lain yangu ya simu ili niweze kulipia huduma fulan ambayo nimeshaitumia na ndio nataka kuondoka.
Pesa imekatwa kwenye CRDB...
Ikulu imekuwa kichekesho. Huyu Bwana Milton Lupa amefariki kwa ajali eneo la Dumila juzi. Alikuwa njiani kuja Dodoma kwenye kituo chake cha kazi VETA. Cha kushangaza jioni hii Dr. Kusilika KM...
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Wakuu salama?
Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kaondolewa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye...
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.