Tukiwambia Israel hana alichofanya zaidi ya kuonea watoto, wanawake, vizee, vijana wasio kuwa wanamgambo wa Hamasi mnasema oh Hamasi wanajificha kwenye nyumba za raia kama ni kweli maneno yenu...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Hawa mamwamba wamekuwa na malumbano ya mara kwa kuoneshana ubabae bungeni. Hasa Tulia akiwa ni mwanzilishi wa kumshambulia Mwigulu.
Kazi kweli kweli, Dkt Tulia Atkson muda wote anamwona km Dkt...
Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu.
Amesema aliyeshika chupa ya damu...
Wakuu kwema.
Hivi karibuni nilikuja humu kuomba msaada wa jinsi ya kutibu hizi fangasi baada ya kushindikana hospital
Nimekuwa nikipewa dawa ileile kwa kila daktari nayemtembelea, nimeenda hadi...
Katika hali inayoelekea kuwachanganya wamarekani Urusi imetuma manowari zake zaidi ya 8 katika pwani ya marekani nchini Cuba sababu ikitajwq ni maandalizi ya mazoezi ya pamoja.
Hii ni mara ya...
Marekani imekuwa ikifuatilia mwenendo wa meli za kijeshi ambazo zimeonekan zikielekea upande wao kwenye visiwa vya Carribean.
Haijajulikana kiuhakika meli hizo za kawaida za kijeshi na zile za...
Wasalaam,
Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu.
Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba...
Kwema wakuu,
Katika pitapita zangu nimekutana na mdada fulani mrembo basi bhana nikaomba nikapewa sasa baada yakufika maskani nikamcheki tumechat jana na leo nikajaribu kutupia ndoano imo sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.