Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali.
10 Reactions
91 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
8 Reactions
43 Replies
413 Views
Ikulu imekuwa kichekesho. Huyu Bwana Milton Lupa amefariki kwa ajali eneo la Dumila juzi. Alikuwa njiani kuja Dodoma kwenye kituo chake cha kazi VETA. Cha kushangaza jioni hii Dr. Kusilika KM...
13 Reactions
24 Replies
55 Views
Mwanamke mmoja Raia wa Kenya ajulikanaye kwa Jina la Beatrice Mutuku asimuklia yaliyomkuta Nchini Saudi Arabia alipoenda kufanya kazi za ndani, Beatrice anadai kwenye nyumba hiyo aliyokuwa...
2 Reactions
15 Replies
418 Views
Kumekuwa na katabia kwa vyoo vya public mtu anaingia kujisaidia hasa haja ndogo hamwagi maji kabla ya kujisaidia bali akisha maliza haja yake ndo humwaga maji. Hivi hii kiafya imekaaje
2 Reactions
12 Replies
290 Views
Baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, muhimili pekee uliohakikisha uzi mwembamba uliokamata maisha ya Lissu usikatike ni Mbowe. Mbowe katoa hela mfukoni, kachangisha, goodwill (hii chadema...
2 Reactions
3 Replies
45 Views
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
23 Reactions
165 Replies
3K Views
Hello members, Habari hizi ni kwa mujibu wa Hill kuku, wametangaza nafasi za kazi. Madereza wa delivery wa pikipiki na madereva wa Hill defender. Kama unahitaji ajira hizi fika ofisini kwao...
5 Reactions
7 Replies
289 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,818
Posts
49,812,260
Back
Top Bottom