Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari natafuta marafiki wakubadirishana mawazo especially wanachuo lengo nikubadirishana mawazo
10 Reactions
52 Replies
535 Views
Sipingi Watu kutengana kwa kukubaliana kutokukubaliana, LAKINI inafikirisha zaidi pale unapogundua kuwa "kuachanishwa" kwenu kulikua na nguvu flani nyuma yake. Katika pita pita Zangu mara kadhaa...
9 Reactions
37 Replies
511 Views
Mdada akitumia neno dear kuni-ddress mimi mapema (i.e ndani ya siku 3), namchukulia kama kicheche ambaye anajitongozesha. Hivyo, huwa ninapatwa na hasira sana na kuamua kuifuta namba yake faster.
5 Reactions
21 Replies
259 Views
Habari za muda huu. Nisikuchoshe sana, huu uzi ni kwa ajili ya wapambanaji wote.. michongo hii inapatikana zanzibar (Unguja). # HIRING A RECEPTIONIST AT ZURI ZANZIBAR 🛎️ We are seeking a...
1 Reactions
19 Replies
112 Views
Salaam, Shalom! Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania...
19 Reactions
175 Replies
4K Views
Huu mradi una maswali mengi ambayo binafsi ninakosa majibu. Tunajua na kutambua kwamba kuna gharama za uendeshaji wa mradi, ikiwemo kulipa mishahara wafanyakazi,mafuta, matengenezo n.k Lakini...
1 Reactions
1 Replies
3 Views
1) Samaki hupata huzuni/msongo wa mawazo (depression) kama apatavyo binadamu 2) Kuna Samaki wanaishi zaidi ya miaka 70 ila yupo aliyeishi miaka 112 anaitwa Bigmouth buffalo 3) Kibaolojia kuna...
25 Reactions
119 Replies
3K Views
MISEMO YA WAKOSAJI🤡 Gari lenyele ni la mkopo Manzi kampendea pesa iPhone ni simu za showoff Chakula cha hotel hakina afya— junky Kila mtu atarudi kaburini mtupu Wenye pesa hawana furaha maishani...
2 Reactions
13 Replies
103 Views
=== Unapoona Viongozi wa wakuu wa juu wa Chama Cha Siasa ni Vigeugeu katika kauli zao jua kabisa hicho chama ni sehemu tu ya kutafutia mikate yao ya Kila siku. VIjana wa CHADEMA wanaodhani...
2 Reactions
20 Replies
325 Views
Namzungu best yangu kanitext ananiuliza which is the best dish for me to buy so i can watch movies and other good stuff
2 Reactions
19 Replies
136 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,421
Posts
49,690,680
Back
Top Bottom