Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe...
7 Reactions
28 Replies
604 Views
PDF mmelishuhudia bibie Zuhra OUT. Sasa ni zamu ya Kikeke
2 Reactions
14 Replies
419 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Yaani huyo Mtu ameiva kote kote kuanzia Habari, Mawasiliano na Maadili halafu pia hata Kichwani yuko vizuri namkubali.
2 Reactions
5 Replies
10 Views
Leo nimeona nishare hii story yangu. Ilikuwa hivi, nilivomaliza chuo nilibaki Dar nikipambana na life. Ndani ya muda kidogo nikapata job bana, mshahara si haba. You can imagine umetoka chuo kwa...
82 Reactions
102 Replies
2K Views
Hakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko.Nenda sokoni kanunuwe mboga,mihogo utapewa mfuko wa plastiki,chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya kukurupuka tu.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari zenu watu wa Mungu, Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya. Natanguliza shukrani.
19 Reactions
166 Replies
34K Views
Amekamatwa leo kwa kile kilichoitwa Uchochezi alioutoa kwenye Mkutano wa Lissu huko Mkalama, mpaka muda huu bado yuko Mikononi mwa Polisi. Anatetewa na Wakili Msomi Tundu Lissu --- Jeshi la...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
TANO KALI ZA NASIBU . Kabla matikiti hayajaanza kudondokeana yalistawishwa kwenye kitalu bora kabisa Cha bishoo bob junior pale sharobaro records. Nasibu Abdul Juma hakuviiba na kuviuza Vito vya...
3 Reactions
21 Replies
413 Views
Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa! Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene Try...
46 Reactions
364 Replies
12K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,944
Posts
49,815,436
Back
Top Bottom