Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hongera sana Mkuu wa wilaya ya Ubungo kwa kudhamiria kutokomeza biashara haramu ya kuuza mili. Leo hii tarehe 6/06/2024 Mkuu wa wilaya amekamata jumla ya madada poa 20 wakiwemo wateja wa biashara...
1 Reactions
8 Replies
9 Views
Rais Samia afanya utezi na kufanya mabadiliko ya watendaji
2 Reactions
10 Replies
11 Views
Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
17 Reactions
488 Replies
6K Views
Huu hapa ni Mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Kinyeto, Jimbo la Singida Kaskazini, uliofanyika leo saa 3 asubuhi .Ikumbukwe kwamba Lissu amekwisha toa angalizo la kufuatiliwa na kikundi cha...
12 Reactions
43 Replies
687 Views
Takribani watu 150 wanahofiwa kufariki katika mauaji kwenye kijiji kimoja katikati mwa Sudan, lawama zikielekezwa kwa Kikosi cha Wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF), kundi la wanamgambo...
0 Reactions
5 Replies
102 Views
Habari WanaJamiiForums Mimi ni mama wa watoto wawili na ndoa ya miaka kumi hapa nilipo sijui furaha ya ndoa ni ipi. Nina mume ambae anajiona yeye ni mkamilifu ila mimi hata nifanye nini...
4 Reactions
17 Replies
364 Views
MANGE KULETWA TANZANIA PUNDE Mange Kimambi jidanganye na wadanganye wajinga wenzio kwamba huwezi kurejeshwa nchini. Utarejeshwa kwa sheria, na wala sio kwa kabebwa 'tanganyika jeki.' Na...
0 Reactions
11 Replies
20 Views
Kuna wakati nawaza hivi wanaume wana ugonjwa upi kwenye makalio ya mwanamke? maana ukitaka kujua ugojwa wa mwanaume ni uwe na kalio la maana upite mbele yao hii mpaka utaona kero maana minongono...
2 Reactions
184 Replies
61K Views
Mashangazi wengine wananyanyasa sana vibenteni, tena ukute shangazi la kanda fulani fulani za Tanzania. Kwanza wa bahili kutoa pesa na wakikupa ni kwa masimango na unaifanyia kazi kwelikweli...
11 Reactions
17 Replies
258 Views
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la...
1 Reactions
27 Replies
517 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,805
Posts
49,811,747
Back
Top Bottom