Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wasalaam, JF. Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla...
7 Reactions
57 Replies
1K Views
Ni suala la muda tu kabla ya Tanzania kuingia katika klabu ya nchi zinazodaiwa zaidi Afrika na pia duniani (most indebted countries), sawa na DRC, Sierra Leone, Ghana, Angola....Argentina...
3 Reactions
9 Replies
10 Views
Wakuu, mimi nimechoka kupiga puli, nimechoka kulala peke yangu, nimechoka kuvaa nguo za kurudia, nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee, mtu mwenye dada au ndugu wa kike...
10 Reactions
36 Replies
282 Views
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho. Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
15 Reactions
197 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna wakati nilishuhudia kwa macho yangu Mwenyewe watu wakiacha na kusimamisha kazi ili wafuatilie mijadala ya Bunge, nilishuhudia watu wakiwa vikundi vikundi vibanda...
2 Reactions
44 Replies
288 Views
Katika misimu hii (3) ya mwisho mashabiki wa Simba huwa na furaha sana wakati wa usajili kuliko msimu ukianza. "Muda wa taarifa kubwa haupo mbali. Pakua (Simba App) na lipia mapema ili uwe wa...
4 Reactions
8 Replies
398 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali. Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu...
6 Reactions
232 Replies
2K Views
Hebu tupe uzoefu, ili twende sawa zaidi. Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban? Mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha...
9 Reactions
75 Replies
816 Views
Ukitaka watoto wazuri wakike lazima ugharamie
3 Reactions
7 Replies
65 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,695
Posts
49,809,276
Back
Top Bottom