Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la...
Special cases mtu aende form 6
Bado ni mdogo sana kiumri
Hakuna uwezo wa kumlipia ada
Kutaka kuwa mwalimu,
Background yangu, Nilimaliza form 6 miaka ya 2009 nikapiga division 2 ya 10, baada ya...
hebu tupe uzoefu, ili twende sawa zaidi.
ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?
mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha...
Pipoooooooooooozi
Moja kwa moja kwenye mada. Katika kipindi hiki ambacho Main stream nyingi na Online media zimeamua kuwa Tawi la CCM nafikiri ni wakati sahihi wa chadema sasa Munatakiwa kuwa...
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.
Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza...
Wadau hamjamboni nyote
Kichwa cha habari chahusika
Mtaala husika ufundishe mausia maono mzonyo dira maelekezo na maagizo ya rais samia suluhu hassan kwa kuanzia na uwe endelevu kwa viongozi wakuu...
Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.