Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Feisal Faila kuff kama wanavyomuita watangazaji wa Azam rafiki za lawena msonda mzee wa makongorosi ametaja kikosi chake Bora Cha msimu ulioisha kupitia gazeti pendwa la michezo mwanaspoti ambapo...
1 Reactions
16 Replies
123 Views
Watumishi wa Mungu wanagombania pesa na mali, mchungaji anagombania ardhi ya wananchi. Mwingira wa efatha anatia aibu watumishi Hapo unakuta kuna wamama wanaamini mwingira ndio mlezi wao wa...
2 Reactions
9 Replies
133 Views
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la...
0 Reactions
16 Replies
282 Views
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja. Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
24 Reactions
236 Replies
6K Views
Wasalaam, JF. Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla...
8 Reactions
68 Replies
2K Views
Ukitaka watoto wazuri wakike lazima ugharamie
9 Reactions
40 Replies
647 Views
Wanaukumbi. 🇮🇱🇱🇧 Hapo jana Israel walisema wanaelekea kwenye uamuzi wa kuivamia Lebanon, leo Hezbollah wamerusha roketi kwenye kituo chao na kuua na kujeruhi makumi ya wanajeshi. Wakati huo...
1 Reactions
43 Replies
731 Views
Wandugu habarini za leo? Naomba kwa mwenye ideas na Masters of Project Management toka Chuo Kikuu Huria Tanzania, nahitaji kujua upatikanaji wa materials, lecturers na changamoto zilizopo pia...
6 Reactions
65 Replies
25K Views
Rate ya BoT kwenye kampuni za kukopesha ni 3.5% as a guidance issued by BoT. A simple study imefanyika kwenye mikopo ya Vodacom kupitia Mpesa and there is huge deviation which is believed to be...
0 Reactions
4 Replies
95 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,722
Posts
49,809,972
Back
Top Bottom