Kwa mujibu wa Waziri anaeshugulikia mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ,Deni la Serikali limeongezeka kutoka Bilioni 155.8 mwaka 2020 Hadi zaidi ya Trilioni 1.1 mwaka 2024 kutokanaa...
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
1940 May ulitokea mvutano mkubwa wa baraza la mawaziri nchini Uingereza baina ya pande mbili, upande mmoja ilikuwa wakiunga mkono kuongea amani na Germany na upande mmoja waliunga mkono kuendelea...
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .
CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .
CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba...
Friends and Our Enemies...
Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani...
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania.
Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam.
Alianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.