Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu wakuu. Nimechoka kununua GB 1 kwa Tsh 2,100 kila siku ambalo halimalizi hata kipindi cha lisaa limoja na nusu YouTube. Nimefikia maamuzi ya kununua Router Nina Smart TV yenye kuingia...
5 Reactions
68 Replies
1K Views
Vijana wadogo msijisumbue kujibu!!!!
1 Reactions
6 Replies
148 Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
21 Reactions
398 Replies
11K Views
Mikopo inawadhililisha kila kona ya nchi. Kampuni za Microfinance zinawakopesha wanashindwa kulipa. Wanashitakiwa kila kona na hii ni aibu kubwa kwa mwajiri wao maana inaonekana hawallipi vizuri.
0 Reactions
5 Replies
159 Views
Ni mwendo wa engagements tu!! Na Hilo puuzi lililosimama linajifanya demu kabisa!! Eee Mwenyezi Mungu turehemu.
1 Reactions
2 Replies
24 Views
naombeni muongozo wakuu
1 Reactions
6 Replies
97 Views
Kipindi nasoma advance nilikuwa mla bata sana, o-level nilisoma seminary, kwahiyo ile kuja dar ni kama fisi kaachiwa bucha. Nilikuwa natoroka shule naingia sinza-africa sana kuna club ilikuwa...
4 Reactions
9 Replies
196 Views
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
21 Reactions
113 Replies
3K Views
ICC kusema Waziri Mkuu wa Israel akamatwe Kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, naona kunashadadiwa Sana na baadhi ya watu. Lakini makosa ya Netanyahu yanafanana Sana na makosa anayotuhumiwa...
9 Reactions
43 Replies
832 Views
Yupi ana fursa zaidi za kujiajiri na kuajiriwa kati ya aliyehitimu Bachelor of Science in Chemistry na aliyehitimu Bachelor of Science in Chemical and Process engineering?
0 Reactions
1 Replies
8 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,393
Posts
49,689,413
Back
Top Bottom