Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu.
Amesema aliyeshika chupa ya damu...
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar.
---...
..fuatilieni hiyo interview hapo chini.
..watangazaji walioshiriki kipindi hiki ni mfano wa waandishi wa habari wasiojiongeza.
..na kwa bahati mbaya wamekusanyana wote wakiwa na MITIZAMO...
Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe...
Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?
===
Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii...
Mchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi.
Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa...
Wakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa timu husika.
Simba SC
Zamalek SC...
Kwako Binti na Mwana wa Afrika.
Elimu za Dunia zinafundisha watu, kuenenda kwa akili/kutumia akili zaidi.
Elimu za kiroho zinahimiza Unyenyekevu/kuenenda kiroho/kutumia uwezo wa ndani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.