Ni suala la muda tu kabla ya Tanzania kuingia katika klabu ya nchi zinazodaiwa zaidi Afrika na pia duniani (most indebted countries), sawa na DRC, Sierra Leone, Ghana, Angola....Argentina...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi .
CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola .
CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba...
Hebu tupe uzoefu, ili twende sawa zaidi.
Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?
Mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha...
Habari zenu,
Nilikua na mpenzi ambae tumedumu kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhati na kwa kipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kazi hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila...
Hawa viongozi wazoefu upinzani, ndio pekee turufu muhimu iliyobakia Tanzania, kuunusuru upinzani dhaifu sana uliopo na uliogawanyika pakubwa na kupoteza dira na uelekeo kabisa.
Muungano wa aina...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna wakati nilishuhudia kwa macho yangu Mwenyewe watu wakiacha na kusimamisha kazi ili wafuatilie mijadala ya Bunge, nilishuhudia watu wakiwa vikundi vikundi vibanda...
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar.
---...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.