Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa muda mrefu sana toka wakati wa Chacha Wangwe, Zitto n.k CHADEMA kimekuwa chama rigid na kisichokubali kabisa kukosolewa hasa kupitia wafuasi wake ambao ukijaribu kukosoa utashambuliwa sana...
1 Reactions
4 Replies
71 Views
Ndege za kivita "fighter jets" na baadhi ya Helicopter za kijeshi zina seat special za kuokoa maisha ya rubani na crew member wengine ikitokea ndege imepata tatizo kubwa litakayopelekea kuanguka...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Huu hapa ni Mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Kinyeto, Jimbo la Singida Kaskazini, uliofanyika leo saa 3 asubuhi .Ikumbukwe kwamba Lissu amekwisha toa angalizo la kufuatiliwa na kikundi cha...
10 Reactions
24 Replies
307 Views
Tumeendelea kufuatilia ili kujua sababu hasa ya Bwana Malissa kukamatwa tena leo na kwamba eti ana kesi mpya huko Kilimanjaro Katika machache tuliyoyapata ni kuhusika kwa Adolf Mkenda, anayedaiwa...
2 Reactions
6 Replies
100 Views
Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume. Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali. Mgonjwa yupo Morogoro.
1 Reactions
9 Replies
144 Views
Fuatilieni hiyo interview hapo chini. Watangazaji walioshiriki kipindi hiki ni mfano wa waandishi wa habari wasiojiongeza. Na kwa bahati mbaya wamekusanyana wote wakiwa na MITIZAMO inayofanana...
2 Reactions
6 Replies
69 Views
Unakaribishwa Niko Mbeya
3 Reactions
12 Replies
200 Views
Mchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi. Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa...
13 Reactions
104 Replies
5K Views
Mfumo wa Ajira Nchini kwetu umeshindikana kabisa hasa kwa tusio na Koneksheni kabisaa! Mfano: nimewahi kuitwa kwenye interview nyingi tu za serikalini ila zote zinafanywa kwa ushahidi tu ili wale...
2 Reactions
5 Replies
58 Views
Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu. Amesema aliyeshika chupa ya damu...
5 Reactions
28 Replies
400 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,755
Posts
49,810,762
Back
Top Bottom