Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nauliza tu maana Labda ulikuwa ni Mwaliko tu wa kupongezana Lakini kama ndio Vikao vya kikatiba vitakuwa vinafanyikia hapo hotelini na Mwenyekiti kulipwa kwa Fedha za ruzuku hiyo itakuwa si sawa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Sijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
6 Reactions
25 Replies
64 Views
Wakuu nimechoka toka jana sijalala... Nahisi kuchanganyikiwa... Nahisi maluwe luwe . Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu... Nimechoka sasa nimechoka. Kama mbwai iwe mbwai tuu...
6 Reactions
76 Replies
350 Views
Viwanja vinapatikana kama ramani hii inavyoonyesha. Bei ni shs 40,000 kwa Square metre. Kwa mawasiliano zaidi piga/sms number 0678-868860.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
1. Kilimanjaro 2. Kagera 3. Tanga 4. Ruvuma 5. Manyara
0 Reactions
11 Replies
181 Views
Wasalaam, Jf. Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha Siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya Siasa akianzia kukisimika chama huko kipya mkoani kwake Singida...
2 Reactions
17 Replies
249 Views
1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio 2.sekta ya ufugaji - hawa...
2 Reactions
2 Replies
92 Views
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu. NB: Depo ya...
9 Reactions
329 Replies
36K Views
Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au...
3 Reactions
32 Replies
597 Views
Hello! Huu ndio ukweli kuwa vijana wasomi wa Zanzibar hawana changamoto ya ukosefu wa ajira kama ilivyo vijana wa Tanganyika a.k.a bara. Vijana ombeni kibali cha ukaazi wa Zanzibar, wengine...
3 Reactions
13 Replies
167 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,627
Posts
49,807,317
Back
Top Bottom