Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kumekua na katabia kwa vyoo vya public mtu anaingia kujisaidia hasa haja ndogo amwagi maji kabra ya kujisaidia bari akisha maliza haja yake ndo humwaga maji. Hivi hii kiafya imekaaje
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kaka yangu Tate Mkuu, shida ni nini? Dada zako ni mnyoosho wa suruali kwa kwenda mbele. Sijawahi kuona mrembo wa kisambaa mwenye wowowo. Ni flat screen ileile. Nimemuacha mmoja mwaka mmoja nyuma...
9 Reactions
70 Replies
2K Views
Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa zaidi ya shilingi bilioni 80 zimetumika kutekeleza miradi ya usambazaji umeme Vijijini Mkoani Singida na hivyo kuboresha huduma za kijamii na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Masaa 2 yaliyopita mfungaji bora wa ligi kuu msimu wa 2023/2024 na mchezaji bora namba 2 Stephan Aziz Ki ametumia ukurasa wake rasmi wa Instagram kuwaaga mashabiki, wanachama, viongozi, wachezaji...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali. Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu...
4 Reactions
206 Replies
1K Views
Hawa wazungu wakija Afrika hatuwaombi cheti cha lugha ya nchi husika, lakini wao ukitaka kwenda kwenda kusoma kwao watataka hivyo vyeti hapo juu. Kuna nchi kama Tanzania na zingine tunatumia...
0 Reactions
6 Replies
141 Views
TANO KALI ZA NASIBU . Kabla matikiti hayajaanza kudondokeana yalistawishwa kwenye kitalu bora kabisa Cha bishoo bob junior pale sharobaro records. Nasibu Abdul Juma hakuviiba na kuviuza Vito vya...
0 Reactions
7 Replies
127 Views
Nilipo muuliza kazi yake Nini, akacheka na kuniambia ni kwaajili ya mapenzi ila hakunifafanulia zaidi
4 Reactions
11 Replies
288 Views
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba...
10 Reactions
53 Replies
864 Views
Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
18 Reactions
132 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,613
Posts
49,806,996
Back
Top Bottom