Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Niaje waungwana Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
10 Reactions
257 Replies
3K Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
17 Reactions
187 Replies
4K Views
Awe na sifa hizi ✓awe mrefu wa wasitani ✓awe mweupe kidogo au maji ya kunde ✓Asiwe na mtoto ✓Elimu kuanzia kidato cha nne ✓kabila lolote isipokuwa muha na mkurya ✓umri miaka 23 Hadi 27 ✓Awe...
0 Reactions
47 Replies
566 Views
Naombeni mnisaidie usharudi, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu...
18 Reactions
288 Replies
4K Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
404 Replies
24K Views
Wadau ni kipindi gani ajira za jeshi la polisi zinategemea kutangazwa?
1 Reactions
118 Replies
5K Views
“Kikubwa kilichotuleta Arusha ni mechi ya Ligi Kuu dhidi ya KMC, mchezo ambao utachezwa tarehe 25 majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.” “Tangu nimekuwa msemaji wa timu...
1 Reactions
4 Replies
82 Views
Nyie Watanzania wenzangu ambao kutwa napata taarifa za kujiua kwenu kwa kukata Tamaa ya Maisha au mnataka sasa na sisi (hasa mimi GENTAMYCINE) niwapeni Historia yangu kubwa ya mapito makubwa...
19 Reactions
36 Replies
478 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,299
Posts
49,687,305
Back
Top Bottom