Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi wa Jamii kuwaita na kuwahoji wakurugenzi wa mifuko ya hifadhi za jamii nchini kuhusu madai ya kuwataka wanufaika...
Kwema wakuu! Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha...
Naomba ushauri.
Nina mwanaume wangu lakini ana tabia ya ulevi uliokithiri yani kulewa mpaka asubuhi na huendelea siku inayofuata mfululizo.
Kila wakati anaomba msamaha kubadilika hali ni ile...
Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe.
Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato?
Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi
👇...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Kweli nimeamini morogoro ni heart of Tanzania wala sio uongo, Morogoro ni njema kwa kila kitu. Huu mkoa umebarikiwa aisee kiukweli kutoka moyoni nakupenda Morogoro japo mie si mtu wa Morogoro...
Kuanzia Kimara Mwisho, Sinza hadi Mikocheni, kila unapopita leo utakuwa huna bahati nzuri kama usipokutana na vibao vinavyotangaza huduma za kuchua (massage). Matangazo mengi ni ya kujinadi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.