Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Cuckoo ni jamii ya ndege wasafiri ambapo husambaa katika kipindi cha kiangazi kwenye bara la ulaya, Asia na Africa. Jamii hii ni aina ya ndege hukwepa majukumu kwa kupandikizia watoto wao kwa...
4 Reactions
10 Replies
232 Views
Sofaset nzuri sanaa ya fiber na springs pia. Ipo mbezi contact:0697224996
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Msanii Roma ameachia kionjo cha wimbo wake mpya na moja ya mstari wa huo wimbo ni huu mstari anaosema "Kwani aliyemteka Roma, si ndio aliyevamia Mawingu''. Wajuzi wa mambo amemaanisha nini...
1 Reactions
16 Replies
192 Views
Special cases mtu aende form 6 Bado ni mdogo sana kiumri Hakuna uwezo wa kumlipia ada Kutaka kuwa mwalimu, Background yangu, Nilimaliza form 6 miaka ya 2009 nikapiga division 2 ya 10, baada ya...
4 Reactions
12 Replies
176 Views
Ndugu zangu Watanzania, Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya...
2 Reactions
101 Replies
2K Views
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
49 Reactions
198 Replies
6K Views
Huyu mrembo wangu ananihudunia kila siku kwa tendo, na ananiachia nijipigie magoli idadi ninayotaka mpaka pale nitakapo choka mimi mwenyewe; nimejikuta ndani ya wiki mbili nimekuwa na kitambi...
8 Reactions
24 Replies
137 Views
Wasalaam, Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu. Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba...
4 Reactions
40 Replies
633 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
6 Reactions
101 Replies
768 Views
Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
17 Reactions
127 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,530
Posts
49,804,721
Back
Top Bottom