Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Chato ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Rombo na Bomag'ombe. Kwa nini Makamanda wenzangu mnaichukia Chato? Hi ni moja ya great and tremendous development tuache chuki bana. CCM wanapiga kazi 👇...
3 Reactions
21 Replies
356 Views
Kuanzia Kimara Mwisho, Sinza hadi Mikocheni, kila unapopita leo utakuwa huna bahati nzuri kama usipokutana na vibao vinavyotangaza huduma za kuchua (massage). Matangazo mengi ni ya kujinadi kwa...
5 Reactions
24 Replies
398 Views
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Iko hivi, nchi hii ili uwe mwizi na fisadi mwenye mafanikio basi ni lazima uwe na mafungamano na chama tawala na serikali yake. Yaani kama uko nje ya mfumo basi hakikisha unakula vizuri na walio...
2 Reactions
23 Replies
155 Views
Sakata la mtoto wa kiume (3) kudaiwa amelawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, limekuwa na sura mpya baada ya kesi kushindwa kufikishwa Mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi...
2 Reactions
6 Replies
133 Views
Habari, natafuta kazi nimesoma IT, Iwe mikoa yoyote kasoro Dar es Salaam
0 Reactions
1 Replies
25 Views
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwamba, Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho. Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na kufanya majukumu...
1 Reactions
7 Replies
18 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
4 Reactions
17 Replies
115 Views
Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote. Hivyo ataendelea kukitumikia...
11 Reactions
77 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,378
Posts
49,800,262
Back
Top Bottom