Wasalaam,
Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu.
Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba...
Tukiendelea kulaumu mikataba ya ki chief Mangungo wa Musovero hatuwezi saidia kitu. Dawa ya yote hata ni Halmashauri Kuu kumtafuta mtu mwenye sifa moja tuuu ya utunzaji wa rasilimali za taifa...
Jamani tuoneane hurumu maisha magumu eti....yani post ya mwaka jana October 19,2023 Mpaka leo hakuna hata post moja kunifariji na hii safari yangu.
Aisee maisha ni magumu kiukweli,wale wote...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Kama Uenyekiti tu wa Chama chenye mbunge Mmoja hataki kuachia je Urais wa kutawala raia million 60 angeachia kweli?
Kwa Mifumo yake ilivyo Chadema wanapaswa kuishia Bungeni kama walivyoshauriwa...
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa...
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Innocent Chengula (23) kwenda jela miaka saba, baada ya kupatikana na makosa sita likiwamo la kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.