Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna Kungwi mmoja ametushauri wanaume eti tunapo gegenda tuwe tunatoa japo miguno, kwasababu inawaamsha sana wadada. Sasa kwenye hizi Nyumba za kupanga itakuwaje? Akina dada hebu watuambie...
1 Reactions
6 Replies
90 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Salamu wakuu. Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale. Mji huu haumkatai mtu kama ukiweka starehe mbele. Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo. Pisi za Mji...
12 Reactions
89 Replies
1K Views
Korea Kusini imesaini mikataba 50 ya biashara,mikopo na sekta za Rasilimali na Nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Rais wa Korea amesema anaendesha sera ya ushirikiano wenye faida kwa.pande Mbili...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
"If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds”
37 Reactions
133 Replies
2K Views
Good evening members. Njia gani bora ya kuishi katika maisha ya ndoa ya mtaala bila pressure na amani. Njemba ina pesa nyumba sio shida lakini haiwezi mke mmoja na inahudhuria kwenye small house...
1 Reactions
7 Replies
8 Views
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
16 Reactions
114 Replies
918 Views
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mm...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari ya asubuhi. Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
14 Reactions
56 Replies
750 Views
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja. Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
23 Reactions
200 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,484
Posts
49,803,616
Back
Top Bottom