Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu huu ni uchunguzi huru.
Sitaki maswali ya picha sijui sampo saizi.
Hawa saivi tunaenda nao ngomba droo na pengine hata wanatuzidi pakubwa wanaume[emoji15]
Haiwezekani lazma kuna shida...
Habari za mchana marafiki zangu wa Faida njoo UFUNGUKE Ka Kero kanakokupa WAKATI MGUMU katika harakati zako za kila siku
Mimi kwakweli Nina KINYAA SANA mwepesi mno kutapika sasa kitu kinachonipa...
Kwanza kabisa niombe Jamiiforums wasiunganishe uzi huu na Nyuzi nyingine zinazoelezea kuhusu sakata la Mtoto kulawitiwa Arusha na Kesi yake kufika kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha.
Sote ni mashahidi wa...
Moja ya vitu ambavyo Simba na viongozi wake wanaferi ni eneo la usajili, sasa hivi wanaongelea kusajili lakini wakati huo huo hawana majibu kama mgunda wanampa timu ama lah!
Kama Mgunda anapewa...
Hata Mbunge Jon Ndugai Spika wa zamani nadhani anashangaa namna Demokrasia ndani ya Chadema imekomaa kiasi cha kuvumiliana kwenye mawazo na hoja binafsi. Jambo ambalo kwake yeye binafsi...
It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again
Wakuu ama kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa...
Swali maalum kwa makamanda.
Wanachadema naomba muongozo wa katiba yenu, je vipindi vya uongozi hasa mwenyekiti ni miaka mitano, kumi, ishirini, thelathini au ni milele hadi kifo?
Tuelewesheni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.