Siikukumbuki jina la clip.
Katika hiyo clip, Wazungu walikuwa wakijadili changamoto za Afrika, ambapo mmoja alionesha kushangazwa na tabia ya Mwafrika. Alisema kwamba Mwafrika anaweza akanunua...
Tehran, afisa wa ngazi za juu aliyekua anahusika na upelelezi wa ajali iliyogharimu maisha ya Rais wa Iran siku chache zilizopita amepigwa risasi na kufariki.
"Huku mtu aliyempiga risasi...
Hii imenishtua sana. Huyu Mtanzania aliyekuwa anajichukulia sheria Mkononi ametuaibisha sana. Alishindwa kuvumilia mpaka arudi kwao?
Nawaza lengo la kuweka camera vyooni ni nini?
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO Ili kukabiliana na Ushawishi wa Russia na China Barani Afrika na hususani Afrika...
Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA mh John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu
Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas...
Directly, single Maza wengi ni chanzo cha mmomonyoko wa maadili kwa watoto kutokana na kwamba maisha wanayoishi niyakihunihuni unakuta single maza anadate wanaume tofauti tofauti .
Mtoto hua...
Ni baada ya kumwambia kwa sasa nitashindwa kulipa deni lake la laki tatu hali yangu bado sio nzuri ajabu hiyo kauli aliyonipa ni kuwa amenisamehe ila niwe makini barabarani hii kauli alikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.