Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari ninaomba msaada wa kisheria ili haki iweze kutendeka , nimetishiwa kudhalilishwa na Mtoa huduma wa Pesa X kama inavyooneka hapo chini.
10 Reactions
85 Replies
2K Views
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza. Cha kushangaza Tanzania...
8 Reactions
53 Replies
757 Views
Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na kasi kubwa sana katika miongo ya hivi karibuni. Moja ya mabadiliko makubwa ni kuingia kwa smart screens, ambazo zimefanywa kuwa na uwezo wa kuunganisha na vifaa...
0 Reactions
3 Replies
344 Views
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo 2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi 3. Kuna...
15 Reactions
196 Replies
27K Views
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART). Video ya tangazo la jaribio la...
2 Reactions
24 Replies
629 Views
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar. ---...
3 Reactions
39 Replies
659 Views
Iko hivi, nchi hii ili uwe mwizi na fisadi mwenye mafanikio basi ni lazima uwe na mafungamano na chama tawala na serikali yake. Yaani kama uko nje ya mfumo basi hakikisha unakula vizuri na walio...
5 Reactions
49 Replies
389 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Wimbi la magari ya kifahari kutumika kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia, linazidi kushika kasi nchini na safari hii gari linalodaiwa kuwa la Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Wakuu Mfumo demokrasia ni nzuri kwa wanasiasa inapowapa nafasi lakini ikiwakataa wanaikana Miaka kumi ya msigwa kanda ilitosha kwa msigwa kufanya mabadiliko ya muda wa madaraka ya chama Sasa...
0 Reactions
1 Replies
6 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,409
Posts
49,801,576
Back
Top Bottom