Ndugu zangu Watanzania,
Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa
kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Ukatili wa majumbani huwa hususani kwa wanawake ila pia sasa kuna tatizo la unyanyasaji kwa wanaume ni tatizo kubwa lakini mara nyingi halionekani, hasa kwa sababu ya jinsi wanavyokuwa wanaonekana...
Mwezi uliopita (May, 2024) kampuni inayomiliki mtandao wa kijamii X zamani Twitter ,wametoa notice kua sasa ni rasmi maudhui ya kingono/ponographic contents ,maudhui ya mapenzi ya jinsia moja yaan...
Waambieni huko Chang'ombe kiwandani Serengeti beer, sticker mpya za chupa za beer yenu hazipendezi.
Sasa hivi chupa hiyo ya sticker ya njano utafikiri kifungashio cha togwa!
Kiwanda cha...
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
Wimbi la magari ya kifahari kutumika kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia, linazidi kushika kasi nchini na safari hii gari linalodaiwa kuwa la Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Swali maalum kwa makamanda.
Wanachadema naomba muongozo wa katiba yenu, je vipindi vya uongozi hasa mwenyekiti ni miaka mitano, kumi, ishirini, thelathini au ni milele hadi kifo?
Tuelewesheni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.