Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa.
Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame...
Tehran, afisa wa ngazi za juu aliyekua anahusika na upelelezi wa ajali iliyogharimu maisha ya Rais wa Iran siku chache zilizopita amepigwa risasi na kufariki.
"Huku mtu aliyempiga risasi...
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-:
Latest patch (update...
Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO Ili kukabiliana na Ushawishi wa Russia na China Barani Afrika na hususani Afrika...
Baby nakupa simu hii ila sitaki ujiunge na magroup ya whatsapp,facebook na mitandao mengine,simu hii ni kwa ajili yangu na ndugu tu.
Ujanja au ushamba?
Pata shida ndio hautashangaa maamuzi watu wanayoyafanya.
Nilipofikia sasa ni kuanguka, kila linachonizunguka kinapotea yani nipo kwenye ncha ya kufirisika na kinachofatia nitashindwa kuhudumia...
Kuna daktari mmoja hapa mtaani ana ka pharmacy kake kadogo ka mchongo ambako hutumia muda wa jioni kusogezea siku. Basi bhana, ikabidi nikaonane naye kutokana na masuala mazima ya ushauri nasaha...
MBUNGE wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka serikali kutotumia mamilioni ya fedha kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi na badala yake wanunue bidhaa hizo kutoka kwenye...
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.