Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wajinga wajinga wengi wanafurahi eti akina Magori wamerudi kuiokoa Simba, tena vyombo vya habari vya kijinga kabisa vinaandika Mamafia warudi Simba. Wana umafia gani sasa? Mafia enzi hizo alikuwa...
2 Reactions
16 Replies
316 Views
Mchungaji Masanja au Mchungaji Irene?
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝 - Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka...
11 Reactions
117 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
6 Reactions
92 Replies
695 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba viongozi wapya waliochaguliwa hivi karibuni Kanda ya Nyasa, Wameanza Kazi Rasmi leo. Wamefika kwenye ofisi za Kanda ya Nyasa na kuanza kazi mara moja, Vigogo...
2 Reactions
7 Replies
69 Views
Kama Taifa kubwa linatunga sheria Kali kiasi hiki ,inakuaje hapa Tanzania ambapo Watoto wanafanyiwa vitendo vya ajabu na hakuna adhabu yeyote ya maana? Kuna Mbunge alipendekeza adhabu ya...
1 Reactions
19 Replies
262 Views
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi...
6 Reactions
44 Replies
264 Views
Kuna maumivu ya aina 2 ambayo yanadumu milele kwenye ulingo wa mapenzi. 1. Mwanaume akijua watu wanamla mke wake. 2. Mwanamke ambaye amefanywa kuwa single mother.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hapa nazungumzia wafanya biashara sio wale wezi wa pesa za wananchi, changamoto inakuja kutafuta mtaji labda umepata milion 5-10, either umekopa au umepewa, changamoto ya kwanza ni kutafuta frame...
16 Reactions
51 Replies
650 Views
Habari wanajf, DED Manyoni uwe na utu Kwa watumishi walio Chini yako haswa ukizingatia afya ndiyo msingi wa rasilimali watu, Kipi kinakufanya kushindwa kumruhusu mtumishi wako Kada ya Uchumi...
0 Reactions
4 Replies
20 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,498
Posts
49,803,949
Back
Top Bottom