Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwamba,
Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na kufanya majukumu...
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
Iko hivi, nchi hii ili uwe mwizi na fisadi mwenye mafanikio basi ni lazima uwe na mafungamano na chama tawala na serikali yake. Yaani kama uko nje ya mfumo basi hakikisha unakula vizuri na walio...
Naomba ushauri.
Nina mwanaume wangu lakini ana tabia ya ulevi uliokithiri yani kulewa mpaka asubuhi na huendelea siku inayofuata mfululizo.
Kila wakati anaomba msamaha kubadilika hali ni ile...
Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa.
Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na...
Kuanzia Kimara Mwisho, Sinza hadi Mikocheni, kila unapopita leo utakuwa huna bahati nzuri kama usipokutana na vibao vinavyotangaza huduma za kuchua (massage). Matangazo mengi ni ya kujinadi kwa...
Habarini wana JF,
Tuanze,
(A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu.
MWANZO 19:30—38
Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa...
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.