Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waziri wa Fedha Dr Mwigullu amesema chini ya uongozi wake kama Waziri kamwe hatakubali mfanyabiashara aondoke na Kodi ya Serikali, atamkamata Mwigullu amesisitiza haiwezekani kufukuzana na...
1 Reactions
10 Replies
240 Views
Kuna daktari mmoja hapa mtaani ana ka pharmacy kake kadogo ka mchongo ambako hutumia muda wa jioni kusogezea siku. Basi bhana, ikabidi nikaonane naye kutokana na masuala mazima ya ushauri nasaha...
3 Reactions
8 Replies
134 Views
Ndugu zangu watanzania, Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya...
3 Reactions
67 Replies
702 Views
Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO Ili kukabiliana na Ushawishi wa Russia na China Barani Afrika na hususani Afrika...
4 Reactions
40 Replies
287 Views
Kuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela. Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi nimetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile...
8 Reactions
42 Replies
1K Views
Hii imenishtua sana. Huyu Mtanzania aliyekuwa anajichukulia sheria Mkononi ametuaibisha sana. Alishindwa kuvumilia mpaka arudi kwao? Nawaza lengo la kuweka camera vyooni ni nini?
7 Reactions
24 Replies
421 Views
Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
13 Reactions
283 Replies
14K Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
21 Reactions
282 Replies
7K Views
. Hakuna mwanaume mwenye hasira na wivu mkali kwa mwanamke asiye mhudumia wala kumlipia mahari labda awe mpumbavu. Mauaji mengi ya mwanaume kumuua mwanamke sio kwa sababu ya wivu wa mapenzi bali...
0 Reactions
9 Replies
125 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,321
Posts
49,688,032
Back
Top Bottom