Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
21 Reactions
321 Replies
7K Views
Hatimaye Mwenyekiti wa BAVICHA John Pambalu ametangaza rasmi kuwa yuko Kambi ya makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu. Pambalu amesema anaunga mkono Juhudi zote za Tundu Antipas Lissu...
3 Reactions
62 Replies
824 Views
Ndugu zangu watanzania, Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya...
3 Reactions
87 Replies
767 Views
Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo" lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC...
2 Reactions
15 Replies
143 Views
Baby nakupa simu hii ila sitaki ujiunge na magroup ya whatsapp,facebook na mitandao mengine,simu hii ni kwa ajili yangu na ndugu tu. Ujanja au ushamba?
2 Reactions
11 Replies
54 Views
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
16 Reactions
83 Replies
2K Views
Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita...
12 Reactions
56 Replies
1K Views
Nimesikitika sana kweli mtegemea cha jirani hufa masikini.. Niliwazoea sana hasa huyo mke wake ilikuwa lazima atamtuma beki tatu aniletee msosi kwenye hotpot..
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO Ili kukabiliana na Ushawishi wa Russia na China Barani Afrika na hususani Afrika...
7 Reactions
54 Replies
378 Views
Kwa anaefahamu namna ya kupiga shuti la MZUNGUSHO kwenye ps3 PES tafadhali nielelekeze maujuzi
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,328
Posts
49,688,205
Back
Top Bottom