Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa. Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe...
17 Reactions
54 Replies
1K Views
Mkutano huu pichani ni wa saa 4 asubuhi leo hii kwenye kijiji cha Ughandi, unaambiwa wananchi wengine wameingia mkutanoni na miswaki yao! Hili ndio jimbo linaloongozwa na mbunge anayeitwa...
0 Reactions
6 Replies
40 Views
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja. Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
20 Reactions
172 Replies
4K Views
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako 1:Iphone kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa...
4 Reactions
13 Replies
179 Views
Hawayuu wasomi wenzangu, Leo katika harakati zangu za hapa na pale za kutafuta mkate wa siku wakati natoka kufundisha subtopic ya quantum tunneling pale UD. Nikadandia daladala moja ya kwenda...
1 Reactions
5 Replies
42 Views
Msimu wa Ligi kuu ya NBCPL ulitamatika mwishoni mwa mwezi wa 5, 2024 na Yanga ndiyo alikuwa Bingwa Tuambie mambo gani yalikuvutia zaidi katika msimu huo?
0 Reactions
10 Replies
33 Views
Urefu wangu, mita 1.8x Haya mambo nilikuwa nayachukulia poa sana nilidhani ni kawaida kwa kila mtu ila nimekuja kuyajua baadae sana - Wale vibaka wa kumendea kuiba simu sijawai kusogelewa nao...
0 Reactions
6 Replies
62 Views
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
1 Reactions
21 Replies
113 Views
MBUNGE MAVUNDE ATENGENEZA MFUMO WA KIDIGITALI WA WENYEVITI WA MITAA KUWASILISHA KERO ZA WANANCHI - Ni mfumo wa haraka zaidi wa kufikisha kero kupitia simu janja - Wenyeviti wote kupatiwa simu...
0 Reactions
8 Replies
47 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,449
Posts
49,802,439
Back
Top Bottom