Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Group limeundwa na watu wa DAWASA wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi. Mh. Waziri anahangaika huku na kule lakini wafanyakazi wa DAWASA wachache wanafanya masihara na maisha ya...
1 Reactions
18 Replies
417 Views
Iko hivi, nchi hii ili uwe mwizi na fisadi mwenye mafanikio basi ni lazima uwe na mafungamano na chama tawala na serikali yake. Yaani kama uko nje ya mfumo basi hakikisha unakula vizuri na walio...
1 Reactions
8 Replies
42 Views
Habarini na poleni na majukumu Uzi huu nimeandika kutokana na mada mbalimbali nilizokutana nazo zinazohusu mahusiano ya kindoa juu ya single mothers Kwanza kabisa inabidi nitoe sababu chache za...
14 Reactions
85 Replies
4K Views
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA, Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe, Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao 1. Zitto Zuberi...
2 Reactions
31 Replies
265 Views
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
10 Reactions
296 Replies
2K Views
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex. Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika...
36 Reactions
757 Replies
39K Views
Well Gamondi and Yanga part away. it's over. Yanga will have a new manager next season as tonight: Gamondi refused a long term contract Gamondi is still in contact with other big teams...
4 Reactions
29 Replies
897 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Mungu ibariki Israel Shmona, June 4, 2024. (Ayal Margolin/Flash90) IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Tuesday that Israel is close...
0 Reactions
18 Replies
261 Views
Pamoja na yote yanayo semwa juu ya CHADEMA bado Peter Msigwa ni mnufaika kinara wa CHADEMA Jimbo la Iringa ( T ) Huenda Mch Peter Msingwa ndio mwanasiasa toka Upinzani atakayetangazwa mapema...
5 Reactions
29 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,366
Posts
49,799,880
Back
Top Bottom