Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝
- Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka...
Wakuu ninashida na Godoro, kama kuna mtu atakuwa na godoro la ziada kwake ambalo alitumii naomba anisaidie.
Hata like chakavu litafaa hivyohivyo kwa muda huu mhitaji anahitaji apate msingi wa...
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana.
- Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda.
- Interest ya Kagame katika vita za wengine.
Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
Hello hello hellooooooo.
Mko salama jamani😉😉
Leo ni birthday ya Chakorii.
Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶
Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳
Huhuhuuuu🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
🥂🥂🥂🥂
Habari ninaomba msaada wa kisheria ili haki iweze kutendeka, nimetishiwa kudhalilishwa na Mtoa huduma wa Pesa X inayomilikiwa na singularity Company kama inavyooneka hapo chini.
TANZANIA KINARA AFRIKA KWA USAMBAZAJI WA NISHATI KWA WANANCHI
📌 Tanzania na Benki ya Dunia kushirikiana katika miradi ya nishati
📌Benki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali...
Walimu wakuu wa Shule mbalimbali za Wilaya ya Ngara kwa niaba ya Walimu wote wa Wilaya ya Ngara wamekutana Katika Kikao maalumu cha Wakuu wa Shule ambapo kwa kauli Moja wameonyesha kuridhishwa na...
Baada ya mwanamke kujua/ kufahamu mume wake anachepuka na kidada fulani jirani,mwanamke anaachika huku akidai hawezi kuvumilia mwanaume amletee magonjwa ya zinaa na UKIMWI
Akiwa huko anakutana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.