Mbaya zaidi anajikuna katikati ya mfereji. Alafu bila aibu anaenda kukuletea chakula na kulishika bakuli la mboga.
Inatia kinyaa sana. Na hii tabia inatakiwa kupigwa stop.
Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, tushapigwa za uso mara kadhaa kununua kadeti za elf 40 tukidanganywaa kwamba ni...
Habari ya asubuhi.
Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share
Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
ABDU FATAH MUSSA MTANGAZAJI WA RADIO TEHRAN IRAN
Ulikuwa mwaka wa 2000 Uchaguzi Mkuu wa Pili baada ya uchaguzi wa kwanza 1995.
Niko Tanga.
Sikumbuki vipi tulifahamiana lakini ninachokumbuka ni...
Far Left/Progressive/Fanatics ni kundi la watu wabovu sana.
Kwa nchi kama Marekani chama cha Democrat ni mfano wa watu wa mrengo wa kushoto.
Watu hawa ndio wana harakati wa mambo machache...
Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Kwa yanayo endelea kwa sisi waafrika weusi na nchi zetu.
Bahati mbaya zamani niliwa tafsiri vibaya Morocco kutukataa sisi ila sasa nimeelewa.
Nakiri Morocco walikuwa sahihi sana kutukataa sisi...
Kama kichwa cha habari kisemavyo utafiti mpya uliofanywa na Dr. Kat Bohannon (PhD) wa Columbia University nchini Marekani umebani kuwa mwanaume na viumbe wa jinsia ya kiume jamii ya mamalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.